MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA RAIS WA AfDB DKT. ADESINA KANDO YA MKUTANO WA BODI YA MAGAVANA ABIDJAN - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, 28 May 2025

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA RAIS WA AfDB DKT. ADESINA KANDO YA MKUTANO WA BODI YA MAGAVANA ABIDJAN



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana nw kufanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake Dkt. Akinumwi Adesina kando ya Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaofanyika katika Hoteli ya Sofitel Ivoire Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso