ANAMRINGI ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA SHINYANGA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 12 March 2024

ANAMRINGI ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA SHINYANGA


Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali huku akimteua Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)- Bara, Anamringi Macha kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga.





Macha amewahi kuhudumu kama Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani humo.


Kwa uteuzi huo, huenda nafasi yake ndani ya CCM ikajazwa na mtu mwingine.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso