CHRISTINA MNDEME ATEULIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 12 March 2024

CHRISTINA MNDEME ATEULIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS


Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga, Christina Mndeme kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).




Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo Machi 12, 2024 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso