Breaking News : BENARD MEMBE AFARIKI DUNIA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 12 May 2023

Breaking News : BENARD MEMBE AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.


Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia ili upate habari zaidi.


Chanzo: ITV Tanzania


 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso