MWANAMKE AUAWA ACHANWACHANWA SHINGONI NA KUVUNJWA MGUU NA MKONO - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 4 September 2022

MWANAMKE AUAWA ACHANWACHANWA SHINGONI NA KUVUNJWA MGUU NA MKONO



Mwili wa mwanamke ambaye hajatambulika umeokotwa katika mtaa wa Kuzenza kata ya Nyegezi jijini Mwanza huku ukiwa na majeraha maeneo mbalimbali ikiwamo shingoni na usoni.


Mwili wa mwanamke huyo ambaye anakadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 35 umekutwa leo Septemba 4, 2022 huku ukionekana kuchanwa shingoni na kitu chenye ncha.


Mbali na majeraha hayo, baadhi ya sehemu ya mwili wake zimeonekana kuvunjika ikiwemo mguu wa kulia na mkono wa kushoto.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso