MWAKINYO APIGWA KWA TKO UINGEREZA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 4 September 2022

MWAKINYO APIGWA KWA TKO UINGEREZA

 



Bondia Hassan Mwakinyo amepoteza pambano dhidi ya Liam Smith baada ya kupigwa kwa TKO


Pambano hilo lilikuwa na mizunguko 12 liliishia mzunguko wa 4 baada ya Mwakinyo kupiga goti wakati pambano likiendelea


Pambano hilo limefanyika katika ukumbi wa M & S Arena mjini Liverpool nchini Uingereza.


Mwakinyo amebaki akiduwaa na kushangaa wakati refarii wa mchezo huo akimaliza mchezo huo ambao Watanzania walikuwa na matumaini makubwa sana kutoka kwake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso