KESI YA SABAYA YAPIGWA KALENDA TENA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 18 July 2022

KESI YA SABAYA YAPIGWA KALENDA TENA


Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Mkoa wa Kilimanjaro imeutaka upande wa Jamhuri kukamilisha upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne ili shauri hilo liweze kusikilizwa.


Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Elibariki Philly ametoa maelekezo hayo leo Jumatatu, Julai 18, 2022 baada ya upande wa Jamhuri ukiongozwa na wakili Sabitina Mcharo kuwasilisha ombi la kuitaka mahakama hiyo kutoa tarehe nyingine ya kutajwa kwa shauri hilo kwa madai upelelezi haujakamilika.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso