HAKIMU KESI YA MFALME ZUMARIDI AGOMEA KUJITOA ADAI HOJA HAZINA MASHIKO - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 27 July 2022

HAKIMU KESI YA MFALME ZUMARIDI AGOMEA KUJITOA ADAI HOJA HAZINA MASHIKO



Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza, Monica Ndyekobora anayeendesha kesi ya jina inayomkabili Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ amegoma kujitoa katika kesi hiyo kwa maelezo kuwa maombi ya mshtakiwa huyo anayetaka ajitoe hayana mashiko.


Hakimu Ndyekobora ametoa uamuzi huo leo Jumatano Julai 27, 2022 huku akisisitiza kwamba kesi hiyo itaendelea kusikilizwa chini yake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso