RAIS SAMIA NA RAIS MSEVEN WAREJESHA USAFIRI WA ZIWA VICTORIA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 10 May 2022

RAIS SAMIA NA RAIS MSEVEN WAREJESHA USAFIRI WA ZIWA VICTORIA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na mwenzake wa Uganda, Yoweri Mseven wametia saini za makubaliano ya kuondoa changamoto za usafiri katika ziwa Victoria.


Makubaliano hayo yamefikiwa nchini Uganda ambapo Rais Samia amekwenda nchini Uganda kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili ambayo imeanza leo Mei 10-11 ambapo akiwa huko watazungumza mambo mbalimbali ikiwemo ya nishati, biashara, miundombinu na sekta ya Afya.


Baada ya makubaliano ambayo wameyafikia wakuu hao wa nchi mbili sasa usafiri katika ziwa Victoria umerejeshwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso