NAFASI YA KAZI YA UALIMU BSL SCHOOLS OF TANZANIA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 10 May 2022

NAFASI YA KAZI YA UALIMU BSL SCHOOLS OF TANZANIA




NAFASI YA KAZI YA UALIMU BSL SCHOOLS OF TANZANIA


Uongozi wa BSL SCHOOLS Tanzania inayoheshima kuwatangazia nafasi za kazi za ualimu kupitia branch zake na vigezo vyake kama ifuatavyo.


1. BSL COLLEGE-KAHAMA
NAFASI MBILI


(a) Nafasi ya mwalimu wa kozi ya Computer


SIFA
✓Awe mkazi wa Kahama mjini
✓Awe na elimu ya kozi husika kuanzia ngazi ya degree na kama ni diploma awe na uzoefu si chini ya mwaka mmoja katika field husika


✓Awe na ubunifu, weledi na umahiri katika kazi mwenye utiifu na kuzingatia maadili ya kazi.


(b) Nafasi ya mwalimu wa somo la English & literature in English


SIFA
✓Awe mkazi wa Kahama mjini
✓Elimu ni kuanzia degree au masters
✓Mwenye uzoefu atazingatiwa zaidi
✓Mbunifu, mwenye uwezo wa ziada, kiingereza kizuri na mwenye weledi, makini na mahiri katika masomo haya.


2. BSL OPEN SCHOOL DODOMA
(a) Nafasi ya mwalimu wa somo la Physics na Mathematics au Mathematics na Economics


SIFA
✓Awe ni mkazi wa Dodoma mjini
✓Awe ni mbobevu na mahiri katika masomo haya
✓Elimu kuanzia degree


Wasiliana nasi
0712583756
0752849726
Mkurugenzi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso