MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA WAFIKIA 119,468 NA MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAREHE 19 MEI 2022 - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 10 May 2022

MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA WAFIKIA 119,468 NA MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAREHE 19 MEI 2022

 Tarehe 05 Mei, 2022, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza rasmi kuanza kupokea maombi ya kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika tarehe 23 Agosti, 2022 kupitia Mfumo wa Maombi wa Kielektoniki. Mwenendo wa uombaji unaendelea vizuri kwa Nchi nzima na hadi kufikia tarehe 9 Mei, 2022 saa saba kamili mchana,tumepokea jumla ya waombaji wapatao 119,468.







No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso