KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 25 May 2022

KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA

 


Kufuatia tangazo la ajira kumb Na. MDC/ADM/10/30/VOL1/86 la tarehe 25 Machi 2022 likihusu nafasi 6 wazi ya mtendaji w3a kijiji daraja la III. Mkurugenzi Mtendaji ya Wilaya ya Maswa anapenda kuwataarifu waombaji waliokidhi vigezo kwenye usaili utakaofanyika tarehe 30/05/2022 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa.

Fungua Majina kupitia hapa jina kujua kama unastahili kushiriki usaili.


BOFYA HAPA KUFUNGUA KUONA MAJINA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso