MTENDAJI WA MTAA DARAJA LA III - NAFASI 14 NEWALA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday, 24 May 2022

MTENDAJI WA MTAA DARAJA LA III - NAFASI 14 NEWALA

 


Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Newala anapenda kuwatangazia watanzania wenye sifa kutuma maombi ya kazi ya Mtendaji wa Mtaa daraja la III - Nafasi 14


Barua zote zitumwe kwa 

MKURUGENZI WA MJI

HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA

186 BARABARA YA MASASI

MTAA WA TUPENDANE

S.L.P 39

63482 NEWALA


BOFYA HAPA KUPATA MAELEKEZO ZAIDI PDFNo comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso