MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) YATANGAZWA (HUHESO Digital Blog 14:04 0 MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2023 NA UALIMU 2023 YAMETANGAZWA Bofya Link Hapa Chini MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 20... Read more »
WALIMU WENYE MALIMBIKIZO YA FEDHA ZA LIKIZO, UHAMISHO NA MADAI KUFUATILIWA (HUHESO Digital Blog 13:45 0 Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Angellah Kairuki amewaagiza maofisa utumishi na makatib... Read more »
BEI ZA MAFUTA ZASHUKA (HUHESO Digital Blog 13:32 0 Vicheko kwa watumiaji wa mafuta ya Petroli na dizeli Julai vitatawala kufuatia kushuka kwa bidhaa hizo katika mikoa inayochukua mafuta hayo ... Read more »
UPANDIKIZAJI MIMBA WAIBUA UDHAIFU WA WANAUME (HUHESO Digital Blog 10:05 0 Idadi ya wanaume wanaokabiliwa na matatizo ya kushindwa kutungisha mimba inaongezeka nchini, huku ikitajwa kuwa wagumu kukubali vipimo, waki... Read more »
WATOTO CHINI YA DARASA LA TANO MARUFUKU KUSOMA SHULE ZA BWENI (HUHESO Digital Blog 15:26 0 Wakati Serikali mkazo juu ya zuio la wanafunzi chini ya darasa la tano kusoma bweni, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipa... Read more »
JUNE 20 KILA MWAKA SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI (HUHESO Digital Blog 15:53 0 Kila mwaka ifikapo Juni 20, dunia huadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani, siku ya kimataifa ya kuwaenzi watu ambao wamelazimika kukimbia. Kwa... Read more »
WANNE WADAIWA KUBAKA KISHA KUKIMBILIA BWAWANI (HUHESO Digital Blog 15:43 0 Juhudi za kuwapata watu wanne wanaodaiwa kumbaka na kumjeruhi mama mmoja mkazi wa Manispaa ya Musoma zimegonga mwamba baada ya watu hao kuki... Read more »
VIONGOZI NA WANANCHI WAHIMIZWA KUWA NA JITIHADA ZA PAMOJA KATIKA KUKABILIANA NA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO, WAKATI WA KUJIFUNGUA (HUHESO Digital Blog 00:10 0 Viongozi na wananchi mkoani Kagera wamehimizwa kuendeleza jitihada za pamoja katika kukabiliana na vifo vya akina mama wajawazito wanapojifu... Read more »
WAANDISHI HABARI WAHIMIZWA KUENDELEA KUANDIKA JUU YA HABARI ZA MARBURG NA KUZUIA UNYANYAPAA NA UBAGUZI KWA WAATHIRIKA (HUHESO Digital Blog 09:41 0 Imeelezwa kuwa, kutangazwa kwa kwisha kabisa kwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg mkoani Kagera, hakuna maana kwamba waandishi habari hawana k... Read more »
YANGA YAKUBALI KUMUACHIA FEISAL SALUM (HUHESO Digital Blog 13:35 0 Baada ya mvutano wa mgogoro wa Kimkataba wa muda mrefu kati ya Yanga SC na Feisal Salum hatimae leo suala hilo limefikia tamati. Yanga SC wa... Read more »
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI WA TAASISI ZA UMMA (HUHESO Digital Blog 11:23 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Amemteua Bw. Omar Issa kuwa Mkuu (Chan... Read more »
PANGA PANGUA YA MAKATIBU TAWALA WILAYA NA WAKURUNGENZI WA HALIMASHAURI (HUHESO Digital Blog 12:01 0 Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu tawala wa wilaya pamoja na wakurugenzi wa halmashauri kwa kuteua wapya, kuwahamisha vit... Read more »
OKRAH KUONDOKA SIMBA (HUHESO Digital Blog 21:31 0 WINGA Mghana, Augustine Okrah amekuwa mchezaji wa kwanza kuruhusiwa kuondoka Simba wakati msimu unaelekea ukingoni. Taarifa ya Simba SC imes... Read more »
AJALI YAUA WATANO MOROGORO (HUHESO Digital Blog 21:26 0 Watu watano wamefariki na wengine 20 kujeruhiwa baada ya gari walilokua wakisafiria Toyota Coaster yenye namba za usajili T .938 DVQ Lilik... Read more »
ACHOMWA KISU TUMBONI KWA DENI LA TSHS 1,000 SERENGETI (HUHESO Digital Blog 21:21 0 Raphael Juma Matiko (25) mkazi wa Kitongoji cha Kivukoni Kijiji cha Merenga Wilaya ya Serengeti amenusurika kufa baada ya kuchomwa kisu tumb... Read more »