MWANAMKE AFUNGWA MAISHA KWA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 12 (HUHESO Digital Blog 15:37 0 Mahakama ya Rufani Tanzania imethibitisha kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa k... Read more »
UTII, KATIBA NA UTUNZAJI WA SIRI KWA MAWAZIRI ZAMCHEFUA RAIS SAMIA (HUHESO Digital Blog 14:16 0 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha mawaziri watatu huku akitoa angalizo kwa mambo matatu yanayoweza kumkwaza katika utekeleza... Read more »
MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YAASWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI (HUHESO Digital Blog 14:12 0 Baadhi ya washiriki wakifuatilia Mada mbalimbali katika Kongamano kwenye Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali linalofanyika ... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 03 OCTOBA 2022 (HUHESO Digital Blog 23:25 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatatu tarehe 03 Octoba 2022 Read more »
BREAKING NEWS: BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA - RAIS AFANYA UTEUZI (HUHESO Digital Blog 23:01 0 Rais Samia amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri na Kumteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taif... Read more »
SIMBA YAICHAPA DODOMA JIJI 3 : 0 KWA MKAPA (HUHESO Digital Blog 21:22 0 KLABU ya Simba imeendelea kutoa dozi kwenye Ligi Kuu Tanzania NBC baada ya leo kuichapa Dodoma Jiji Fc kwa mabao 3-0, mchezo ambao ulipigw... Read more »
ANG'ATWA ULIMI NA KUONDOA KIPANDE - ABAKI NA ULEMAVU SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 21:16 0 Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Mwamakalanga katika halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, ameachwa akiwa na ulema... Read more »
NAFASI YA KAZI NEW HOPE ORPHANAGE CENTER (HUHESO Digital Blog 18:58 0 Kituo cha kulelea watoto yatima cha New hope Orphange Center kilichopo Kahama Mwime Ilindi kinatangaza nafasi ya kazi ya mlezi na mwangaliz... Read more »
TRA YAWAPONGEZA WALIPA KODI (HUHESO Digital Blog 16:18 0 Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), imewapongeza walipakodi wote kwa kuendelea kulipa kodi kwa hiari na kuiwezesha mamlaka hiyo kufikia kiwango ... Read more »
TAARIFA YA MSICHANA KUVULIWA NGUO NI POTOFU (HUHESO Digital Blog 16:12 0 Jeshi la Polisi mkoa wa Mara limesema kwamba Askari wake wamekuwa wakitenda majukumu yao kwa weledi na kwamba tukio la msichana kutendewa is... Read more »
SERIKALI YAWAPA MAWAKILI WAFAWADHI SIKU 14 KUWASILISHA KESI ZILIZOPO (HUHESO Digital Blog 15:58 0 Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akizungumza na Mawakili wa Serikali (hawapo pichani) wakati akifunga mkutano wa cha... Read more »
THOMAS ASHINDA TENA UENYEKITI CCM KAHAMA MJINI (HUHESO Digital Blog 15:45 0 Mshindi wa kiti cha uenyekiti wilaya ya Kahama kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Thomas Muyonga akiwashukuru wajumbe baada ya kumchagua kwa ... Read more »
MKUTANO WA MWAKA WA WAKURUGENZI WA AZAKI KUHUSU UWAJIBIKAJI WA FEDHA NA UENDELEVU WA AZAKI (HUHESO Digital Blog 15:21 0 Wito umetolewa juu ya Kuachana na kutetea haki za binadamu wanaojihusisha na ndoa za jinsia moja, wito huo umetolea na Mwenyekiti wa Bodi ya... Read more »