Post Top Ad
Monday, 25 May 2026
JMAT SHINYANGA YAUNDA KAMATI 17 KUIMARISHA AMANI , MSHIKAMANO NA MARIDHIANO
Katika kuimarisha harakati za kuhubiri amani na mshikamano wa kijamii, Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Mkoani Shinyanga imean...
TAHLISO YATAKA HEKIMA VIJANA KUSIMAMIA AMANI
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Vyuo na Vyuo Vikuu nchini (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amesema jumuiya hiyo haiungi mkono changamoto ...
REA YAANDIKA HISTORIA LUDEWA*
*📌Yawasha umeme ukanda wa Nyasa kitongoji cha Nkanda* *📌Yapongezwa kufikisha umeme kwenye mazingira magumu Njombe* *📌Bodi ya REA yasisi...
BENKI YA DUNIA YAVUTIWA NA KASI YA MAGEUZI YA TANZANIA, YAIPA MATUMAINI MAKUBWA DIRA YA 2050
Tanzania imeendelea kuvutia taasisi kubwa za maendeleo duniani kutokana na kasi ya mageuzi ya kiuchumi, uwekezaji wa miundombinu pamoja na j...
WORLD BANK EXPRESSES STRONG CONFIDENCE IN TANZANIA’S ECONOMIC FUTURE UNDER PRESIDENT SAMIA
Tanzania continues to strengthen its position as one of Africa’s most promising economies, with the World Bank expressing growing confidence...
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KAHAMA, LAENDELEA KUJIIMARISHA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO NA MAOKOZI
Askari wa kituo cha jeshi la zimamoto na uokoaji Kahama, wakifanya zoezi la maokozi kwa majeruhi wa ajali ya barabarani, katika kuimarisha u...
Sunday, 24 May 2026
WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA KIMAADILI NA USHIRIKIANO WA KIJAMII
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga ki...
Saturday, 23 May 2026
WAZIRI MKUU AVITAKA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUWA MACHO DHIDI YA WAVUNJA AMANI
_▪️Aonya dhidi ya vitendo vya uchochezi, kujiteka na propaganda zinazolenga kuwagombanisha Watanzania_ _▪️Asema Serikali imejikita kusikil...
NAIBU WAZIRI AYOUB AWATAHADHARISHA VIJANA USAMBAZAJI TAARIFA POTOFU
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ametoa onyo kali kwa vijana nchini akisisitiza kuwa hawapaswi kabisa kutumia...
VIJANA LINDENI AMANI YA TANZANIA
Na. Vero Ignatus. Mwanadiplomasia na Mratibu wa Makongamano ya Vijana, Ndugu Omary Abdul Punzi, ametoa onyo kwa vijana nchini kuacha kufuata...
Friday, 22 May 2026
MBUNGE NGAYIWA AIPONGEZA SERIKALI KWA MIRADI YA BARABARA KAHAMA, AOMBA KUKAMILISHWA KWA BARABARA YA KAGONGWA–IGUSULE
MBUNGE NGAYIWA AIPONGEZA SERIKALI KWA MIRADI YA BARABARA KAHAMA, AOMBA KUKAMILISHWA KWA BARABARA YA KAGONGWA–IGUSULE Na Neema Nkumbi Mbunge ...
HAYATI MKAPA NA UJUMBE WAKE WA AMANI: MSINGI WA MAENDELEO YA TAIFA
Rais wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa, aliongoza nchi kuanzia mwaka 1995 hadi 2005. Kipindi chake kiliambatana na...
SERIKALI YALISHAURI BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KUIMARISHA MAHUSIANO NA JAMII KULINDA AMANI
.Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Zuhura Yunus amelishauri Baraza la Vyama vya Siasa kuwa daraja la kuimari...
UMUHIMU WA KUJENGA TAIFA – MWALIMU JK NYERERE
“Lazima tujenge Taifa ambalo watu wake wanaheshimiana bila kujali dini, kabila wala rangi.”Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere a...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.