Post Top Ad
Friday, 10 April 2026
Thursday, 9 April 2026
AJALI YA LORI LA MAFUTA, KAHAMA, ZIMAMOTO WAFANIKIWA KUDHIBITI MLIPUKO WA MOTO, ELIMU YATOLEWA
Ajali iliyohusisha lori la mafuta na lori lililobeba saruji katika kijiji cha Isaka, kata ya Isaka wilayani Kahama mkoani Shinyanga, na kusa...
CHAKWERA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHE. BALOZI MAHMOUD THABIT KOMBO
Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Malawi, akiambatana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Ayorkor Botc...
CHAKWERA AWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI, APOKELEWA RASMI UWANJA WA NDEGE JNIA
Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Jamhuri ya Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Ayorkor Botchw...
Wednesday, 8 April 2026
UFAFANUZI WA KAULI YA RAIS SAMIA KUHUSU ONGEZEKO LA BEI ZA MAFUTA NA ATHARI ZAKE DUNIANI
Ufafanuzi. Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha vion...
RAIS SAMIA, DK. MWINYI WAONGOZA MAELFU KUMUENZI ABEID AMANI KARUME
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewaongoza Watanzania kumuenzi muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Hayati ...
MSIMAMO: MARIDHIANO NDIO UKUTA PEKEE WA KUZUIA TANZANIA ISIINGIE KWENYE MAJANGA
Tanzania imetakiwa kutumia mbinu ya maridhiano na mazungumzo kama kinga ya pekee dhidi ya viashiria vya migogoro ya kisiasa, ili kuepuka kui...
Tuesday, 7 April 2026
MASAUNI AHIMIZA VIJANA NA WANAFUNZI KULINDA TUNU YA MUUNGANO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Masauni, ametoa wito mzito kwa vijana na wanafunzi wa taasisi za elim...
SERIKALI NA WADAU WA HABARI WAHIMIZA UWAJIBIKAJI WA KIDIJITI KUDHIBITI TAHARUKI
Katika kipindi hiki cha mabadiliko makubwa ya teknolojia ya kidijiti taarifa zimekuwa zikitumika kama silaha ya kueneza propaganda hasi na k...
MAALIM SEIF: SHUJAA WA MARIDHIANO NA MHIMILI WA MSHIKAMANO
Serikali ya Zanzibar imetoa heshima za pekee kwa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, ikimtambua kama kiungo muhimu...
SANGU ASISITIZA UMUHIMU WA TAASISI ZA KIDINI KATIKA KULINDA AMANI YA NCHI
Sangu Asisitiza Umuhimu wa Taasisi za Kidini Katika Kulinda Amani ya Nchi
BARRICK NORTH MARA YAWEZESHA VIJANA TARIME KUANZISHA MIRADI YA KIUCHUMI
Vijana wakiwezeshwa kuendesha miradi mbalimbali ikiwemo ya kilimo wataweza kujikwamua kiuchumi kama wanavyoonekana vijana wakiwa shambani kw...
Monday, 6 April 2026
TUME YA UCHUNGUZI YAONGEZEWA MUDA TENA HADI APRILI 24
Na Mwandishi Wetu *DODOMA* : MAMLAKA ya Uteuzi imeridhia maombi ya muda wa ziada kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati ...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.