CHAKWERA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHE. BALOZI MAHMOUD THABIT KOMBO - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday, 9 April 2026

CHAKWERA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHE. BALOZI MAHMOUD THABIT KOMBO


Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Malawi, akiambatana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Ayorkor Botchwey, amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, jijini Dar es Salaam Aprili 9, 2026.
Mkutano huo ulilenga kumkaribisha nchini na pia ni ishara ya kuanza ratiba yake ya kukutana na wadau mbalimbali ikiwamo kukutana na ujumbe wa Serikali Aprili 09, 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso