VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAMWAGIA SIFA RAIS SAMIA KWA KUUNDA TUME YA UCHUNGUZI WA KIJINAI NKUMBI 18:02 0 Wagombea wa nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wamemmwagia sifa na pongezi nyingi Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia uamuzi w... Read more »
TAEC YAWASILISHA MAFANIKIO YA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA RWANDA NKUMBI 17:58 0 Na Mwandishi Wetu-Kigali, Rwanda TUME ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imeshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa ... Read more »
WANANCHI KAHAMA WANUFAIKA NA KAMPENI YA SAMIA LEGAL AIDS, ELIMU YA ARDHI YAPEWA KIPAUMBELE NKUMBI 20:58 0 Na Neema Nkumbi, Kahama Wananchi wa Manispaa ya Kahama wameendelea kunufaika na huduma za msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Samia Legal ... Read more »
MKAKATI WA KILIMO CHA KISASA: MWAROBAINI WA UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA NA MUSTAKABALI WA AMANI YA TAIFA NKUMBI 16:30 0 Serikali imepata mafaniko makubwa katika utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano 2020/2021 hadi 2025/2026 kwa ku... Read more »
MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NA WADAU WAHIMIZA MARIDHIANO BILA MASHARTI NKUMBI 16:27 0 Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, Juma Ali Khatibu, ametoa wito kwa viongozi wote wa kisiasa nchini kutolichukulia suala la kuundwa k... Read more »
TRILIONI 4.2 KULINDA MIPAKA: SERIKALI YAANIKA MKAKATI KABAMBE WA KUIMARISHA ULINZI WA TAIFA NKUMBI 16:24 0 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limefarijika baada ya kuelezwa rasmi kuwa mipaka yote ya nchi iko salama na shwari kufuatia usimami... Read more »
GARI ILIYOBEBA WAANDISHI WA HABARI YAPATA AJALI SHINYANGA,BOAZ AFARIKI DUNIA NKUMBI 16:19 0 Boaz Martine enzi za uhai wake Eneo la ajali Na Kadama Malunde - Shinyanga Mpiga picha wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Boaz Martine, ... Read more »
ZIARA YA NAIBU MEYA KAHAMA NA DIWANI MWENDAKULIMA KUKAGUA MIRADI YA HUDUMA ZA JAMII NKUMBI 20:22 0 Na Neema Nkumbi, Kahama Naibu Meya wa Manispaa ya Kahama ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mwendakulima, Mhe. Shaban Mikongoti, leo Mei 19, ... Read more »
MUFTI ZUBEIR AFUNGUKA KUTOKA MAKKA, AELEZA HAJA YA KULIOMBEA TAIFA NKUMBI 18:49 0 Shehe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zubeir, ametoa mwito mzito kwa mahujaji wote wa Kitanzania waliopo nchini Saudi Arabia, akiwataka kut... Read more »
KAULI YA DANGOTE INAKUMBUSHA WATANZANIA KUIUNGA MKONO SERIKALI KATIKA KULINDA AMANI NKUMBI 18:45 0 Tahariri ya gazeti la HabariLeo inaitazama ziara ya hivi karibuni ya mfanyabiashara bilionea namba moja barani Afrika, Aliko Dangote, nchini... Read more »
SAUTI YA MPAKA WA KASENYE: AMANI INAVY9FUNGUA MILANGO YA BIASHARA YA SAMAKI KATI YA TANZANIA NA UGANDA NKUMBI 18:43 0 Katika upepo mwanana unaovuma kwenye kijiji cha mpakani cha Kashenye mkoani Kagera, ushuhuda wa maisha ya Adivela Kitende unadhihirisha kwa ... Read more »
SAUTI ZA KIROHO NA KISIASA KUHUSU MARIDHIANO KATIKA KUPONYA TAIFA NKUMBI 22:21 0 Viongozi wa dini nchini wameshauri mchakato wa kupata maridhiano ya kitaifa uwe shirikishi na uepuke maslahi binafsi ili kuliponya taifa kwa... Read more »
WAZIRI NANAUKA AWAONYA VIJANA DHIDI YA SIASA ZA CHUKI NKUMBI 22:18 0 Amani ndiyo msingi wa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na bila utulivu hakuna maendeleo yatakayodumu hapa nchini. Kauli hiyo ... Read more »
RC DAR AONYA UKUMBATIAJI WA PROPAGANDA ZA CHUKI NKUMBI 22:14 0 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka vijana kuachana kabisa na propaganda za chuki na badala yake waelekeze akili na ... Read more »