RAIS SAMIA, DK. MWINYI WAONGOZA MAELFU KUMUENZI ABEID AMANI KARUME NKUMBI 14:12 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewaongoza Watanzania kumuenzi muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Hayati ... Read more »
MSIMAMO: MARIDHIANO NDIO UKUTA PEKEE WA KUZUIA TANZANIA ISIINGIE KWENYE MAJANGA NKUMBI 14:05 0 Tanzania imetakiwa kutumia mbinu ya maridhiano na mazungumzo kama kinga ya pekee dhidi ya viashiria vya migogoro ya kisiasa, ili kuepuka kui... Read more »
MASAUNI AHIMIZA VIJANA NA WANAFUNZI KULINDA TUNU YA MUUNGANO NKUMBI 22:45 0 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Masauni, ametoa wito mzito kwa vijana na wanafunzi wa taasisi za elim... Read more »
SERIKALI NA WADAU WA HABARI WAHIMIZA UWAJIBIKAJI WA KIDIJITI KUDHIBITI TAHARUKI NKUMBI 22:24 0 Katika kipindi hiki cha mabadiliko makubwa ya teknolojia ya kidijiti taarifa zimekuwa zikitumika kama silaha ya kueneza propaganda hasi na k... Read more »
MAALIM SEIF: SHUJAA WA MARIDHIANO NA MHIMILI WA MSHIKAMANO NKUMBI 21:57 0 Serikali ya Zanzibar imetoa heshima za pekee kwa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, ikimtambua kama kiungo muhimu... Read more »
SANGU ASISITIZA UMUHIMU WA TAASISI ZA KIDINI KATIKA KULINDA AMANI YA NCHI NKUMBI 21:46 0 Sangu Asisitiza Umuhimu wa Taasisi za Kidini Katika Kulinda Amani ya Nchi Read more »
BARRICK NORTH MARA YAWEZESHA VIJANA TARIME KUANZISHA MIRADI YA KIUCHUMI NKUMBI 16:16 0 Vijana wakiwezeshwa kuendesha miradi mbalimbali ikiwemo ya kilimo wataweza kujikwamua kiuchumi kama wanavyoonekana vijana wakiwa shambani kw... Read more »
TUME YA UCHUNGUZI YAONGEZEWA MUDA TENA HADI APRILI 24 NKUMBI 23:52 0 Na Mwandishi Wetu *DODOMA* : MAMLAKA ya Uteuzi imeridhia maombi ya muda wa ziada kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati ... Read more »
ZIMAMOTO KAHAMA WAFANYA KAGUZI KINGA, KUMBI ZA STAREHE NA KWENYE MIKUSANYIKO NKUMBI 17:54 0 Mkuu wa kituo cha jeshi la zimamoto na uokoaji wilayani Kahama mkoani Shinyanga Hafidhi Omari akitoa elimu kwa mtoto Mary Michael ya namna... Read more »
VYOMBO VYA ULINZI: MUHIMILI WA AMANI NA MAENDELEO TANZANIA NKUMBI 17:33 0 Vyombo vya ulinzi na usalama nchini vimeendelea kutajwa kuwa mhimili mkuu wa amani na utulivu wa muda mrefu, hali inayotoa fursa kwa wananch... Read more »
PASAKA YAHITIMISHWA KWA WITO WA AMANI NA HAKI TAIFA ZIMA NKUMBI 17:22 0 Sherehe za Pasaka zinazoadhimisha ufufuko wa Mwokozi Yesu Kristo zimehitimishwa jana nchini, huku kukiwa na msisitizo mkubwa kutoka kwa vion... Read more »
FUNZO KWA VIJANA KUTOKA KATIKA OPERESHENI YA POLISI TANGA NKUMBI 17:11 0 Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kufanya operesheni kabambe na kuwaokoa vijana 87 waliokuwa wamenaswa katika mtego wa utapeli ulio... Read more »
MRADI WA UMWAGILIAJI MAKAMBAKO KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA NKUMBI 17:07 0 Serikali imetangaza kuanza kwa mradi mkubwa wa umwagiliaji katika eneo la Idofi, Wilaya ya Makambako, hatua inayolenga kukuza uchumi wa wana... Read more »
BOT ‘YAVAMIA’ MITAA KUNUSURU WANANCHI NA MIKOPO YA ‘KAUSHA DAMU’ NKUMBI 20:27 0 Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imechukua hatua madhubuti kunusuru hali za kiuchumi za wakazi wa Jiji la Mwanza kwa kushusha timu ya wataalamu ... Read more »