WAUMINI WAIOMBA VATICAN KUFANYA UCHUNGUZI KUHUSU MWENENDO WA PADRI DKT. CHARLES KITIMA NKUMBI 12:11 0 Waumini wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Stanslaus Thobias Nyakunga na Elia Phaustine Kabote, wamewasilisha rasmi barua kwa Archbishop An... Read more »
WANANCHI WAHIMIZA USHIRIKIANO NA POLISI KULINDA AMANI KIPINDI CHA SIKUKUU NKUMBI 12:07 0 Kuelekea sherehe za Krismas na Mwaka Mpya, wananchi kutoka mikoa mbalimbali wametoa wito wa kutumia njia ya mazungumzo kutatua changamoto za... Read more »
TUSIRUHUSU SEKTA BINAFSI KUVURUGWA TENA KAMA OKTOBA 29 NKUMBI 10:27 0 Uelewa wetu kama Watanzania kuhusu kulinda amani ndiyo nyenzo kuu inayotuwezesha kufanya shughuli halali zinazotupatia mahitaji ya kila siku... Read more »
UZALENDO WA KWELI HUPIMWA KWA VITENDO VYA KULINDA TAIFA NKUMBI 10:16 0 Vijana wamehimizwa kutambua kuwa mzalendo wa kweli hupimwa kwa vitendo vya kulinda taifa. Jackline Mwafongo, mkazi wa Mbeya, ameeleza kuwa v... Read more »
AMANI NI JUKUMU LETU TUSHIRIKIANE NA VYOMBO VYA USALAMA KUOKOA JAMII NKUMBI 09:38 0 Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kuwa hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari. Hata hivyo, ukweli ni kwamba amani ya nchi yetu ... Read more »
UBUNIFU WA "SMART CHAJA" WAANGAZIA FURSA ZA VIJANA KATIKA MAZINGIRA YA AMANI NKUMBI 09:18 0 Katika hali inayoshiria kukomaa kwa fikra za kimaendeleo miongoni mwa vijana, mbunifu Thomas Ryoba amezindua huduma ya vituo vya kukodi kuch... Read more »
JESHI LA POLISI LATHIBITISHA HALI YA USALAMA NCHINI SHWARI YATOA ANGALIZO KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA NKUMBI 20:18 0 Jeshi la Polisi Tanzania limetoa taarifa kwa umma likiwahakikishia wananchi kuwa hali ya usalama nchini imendelea kuwa shwari katika kipindi... Read more »
TUSIWE "MAZOMBI" KWA KUSALITI UTALII NA RASILIMALI ZA TAIFA NKUMBI 20:13 0 Katika hali inayoonyesha kuamka kwa ari mpya ya uzalendo, Watanzania wametahadharishwa kutokubali kutumika kama silaha ya kuangamiza uchumi... Read more »
MWINJILISTI EVOD MEDSON ANAVYOCHOCHEA AMANI KWA LUGHA YA 'Gen Z' NKUMBI 20:09 0 Katika jitihada za kukabiliana na changamoto za mmomonyoko wa maadili na tabia hatarishi miongoni mwa vijana, Mwinjilisti Evod Medson ameibu... Read more »
WATANZANIA TUBAINI AJENDA ZA WAHUNI WA UGHAIBUNI: AMANI YETU NDIYO NGAO YA MAENDELEO NKUMBI 20:00 0 Watanzania Tubaini Ajenda za Wahuni wa Ughaibuni; Amani Yetu Ndiyo Ngao ya Maendeleo Wakati Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikie... Read more »
WANANCHI NA VIONGOZI WAUNGANA KUKEMEA CHOKOCHOKO ZA AMANI MSIMU WA SIKUKUU NKUMBI 19:17 0 Wakati Watanzania wakijiandaa kusherehekea sikukuu ya Krismasi, sauti za onyo zimetawala kila kona ya nchi dhidi ya yeyote anayepanga kuvuru... Read more »
UMUHIMU UMMA KUSHIRIKI UCHUNGUZI WA TUME YA JAJI CHANDE KWA MUSTAKABALI WA TAIFA NKUMBI 19:17 0 Katika hatua ya kuimarisha misingi ya haki na amani ya kudumu nchini, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani ya Uchaguzi Mkuu 202... Read more »
SERIKALI KUJENGA MTAMBO WA UCHENJUAJI DHAHABU KWA WACHIMBAJI WADOGO MWAKITOLO, SHINYANGA NKUMBI 18:51 0 WAZIRI WA MADINI, MHESHIMIWA ANTHONY MAVUNDE, amesema Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) iko mbioni kuanza ujenzi wa mta... Read more »
BARUA YA WAZI KWA KIJANA WA KITANZANIA: NGUVU YA MABADILIKO IKO MIKONONI MWAKO NKUMBI 16:19 0 Salamu kwa Kijana Mzalendo, Nakuandikia barua hii nikiwa na imani kubwa na nguvu, akili, na uwezo mkubwa ulionao wa kuibadilisha Tanzania ye... Read more »