Post Top Ad
Tuesday, 4 November 2025
SAMIA: DEMOKRASIA HAIPIMWI KWA USHINDI, BALI KWA MAISHA BAADA YA UCHAGIZI
SAMIA: Demokrasia Haipimwi kwa Ushindi, Bali kwa Maisha Baada ya Uchaguzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Ha...
RAIS SAMIA KUKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUPOKEA ILANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza kuwa atakutana na vyama vingine vya siasa na kupokea ila...
MZEE HAMIS MGEJA AZIKWA KAHAMA, VIONGOZI WAMPONGEZA KWA UADILIFU NA UONGOZI BORA
Na Neema Nkumbi, Kahama Mzee Hamis Mgeja, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, amezikwa leo novemba 4,...
Wednesday, 29 October 2025
MKUU WA MKOA MBONI MHITA APONGEZA UTULIVU NA MWITIKIO MKUBWA WA WANANCHI KUPIGA KURA
Mkuu wa Mkoa Mboni Mhita Apongeza Utulivu na Mwitikio Mkubwa wa Wananchi Kupiga Kura Na Neema Nkumbi Kahama Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni...
Tuesday, 28 October 2025
POLISI WATAHADHARISHA KUHUSU UWEPO WA PICHA ZA KUTENGENEZA KULETA MIHEMKO
Na Mwandishi wetu - Jeshi la Polisi limetahadharisha wananchi kuwa, kuna kikundi cha watu baada ya kuona wameshindwa kuvuruga amani ya nchi...
USALAMA UMEIMARISHWA NCHI NZIMA, TUJITOKEZE KUPIGA KURA BILA HOFU — BASHUNGWA
📌 Bashungwa atoa onyo kali kwa watakaovuruga uchaguzi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, ...
TAIFA LAKUNJA JAMVI: MACHO YOTE SASA OKTOBA 29
Na Mwandishi Wetu Kuelekea kilele cha mchakato wa kidemokrasia nchini, Watanzania wako katika siku za mwisho za maandalizi kwa ajili ya Ucha...
SIKU YA KURA: VIONGOZI WA DINI WAENDELEA KUHIMIZA UTII NA AMANI, INEC YATANGAZA UTAYARI
Kesho ni Siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, na wakati Watanzania wakiingia vituoni kupiga kura, wito maalum wa kudumisha am...
WITO WA MWISHO KWA TAIFA KUTOKA KWA UPINZANI: Kura Haki, Amani Daima!
Na Mwandishi wetu KESHO ni siku rasmi ya Uchaguzi Mkuu, tukio muhimu la kidemokrasia linalowakutanisha Watanzania katika vituo vya kupigia k...
KIOO CHA UAMUZI WA WANANCHI: UTULIVU NA IMANI KATIKA DIRA YA MAENDELEO NDANI YA UCHAGUZI
Huku Taifa likipiga hatua muhimu ya kidemokrasia kwa kufanya Uchaguzi Mkuu, utafiti wa hivi karibuni wa Kituo cha Sera za Kimataifa Afrika (...
WAPIGA KURA 37,647,235 KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza na wananchi wakati akisoma risala yake kuh...
Monday, 27 October 2025
GOLI LA MAMA NI ZAIDI YA TUZO NI MKAKATI WA SERIKALI KUFANYA MICHEZO KUWA AJIRA NA KUIMARISHA DIPLOMASIA YA TAIFA
Na Mwandishi wetu Katika kipindi ambacho mafanikio ya soka la Tanzania yanazidi kung'aa kimataifa, kumekuwa na mjadala kuhusu motisha y...
LULU MAPUNDA WA CHADEMA ATAKA HAMASA MAANDAMANO SIKU YA KURA ISITISHWE
Na Mwandishi wetu Mwanaharakati na muigizaji maarufu wa filamu nchini, Lulu Mapunda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ametoa w...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.