Waziri Mkuu DR Congo Sama Lukonde Ajiuzulu (HUHESO Digital Blog 13:34 0 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jean-Michel Sama Lukonde amejiuzulu, ametangaza hatua hiyo katika video iliyosambazwa kwen... Read more »
MTOTO WA MIAKA 7 AUAWA KWA KUTENGANISHWA KICHWA NA KIWILIWILI- BABATI (HUHESO Digital Blog 11:47 0 Mtoto mdogo mwenye miaka 6 Mpaka 7 mwanafunzi wa darasa la awali shule ya msingi Mapea kata ya Magugu wilayani Babati mkoani Manyara ... Read more »
BODI MPYA TUNATEGEMEA MAFANIKIO MAKUBWA REA (HUHESO Digital Blog 16:20 0 Bodi ya Nishati Vijijini (REB) inayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imesema inategemea mafanikio makubwa katika kuiwezesha Wakala ... Read more »
RAIS SAMIA AWAPANDISHA VYEO MAOFISA WA JESHI LA POLISI AKIWEMO MSEMAJI WA JESHI LA POLISI DODOMA (HUHESO Digital Blog 16:11 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapan... Read more »
SEKTA ZA UTALII,MADINI NA VIWANDA ZAVUNJA REKODI KUINGIZA MAPATO MAKUBWA TANGU UHURU (HUHESO Digital Blog 16:04 0 Sera za uchumi za Rais Samia Suluhu Hassan zimeleta mageuzi makubwa nchini, huku sekta za utalii, madini na viwanda zikivunja rekodi kwa kui... Read more »
SILAHA MPYA YA ANGA YA NYUKILIA TOKA URUSI INATIA WASIWASI DUNIA. (HUHESO Digital Blog 12:49 0 Marekani imesema ina wasiwasi kuwa Urusi imetengeneza silaha mpya inayoweza kushambulia satelaiti. Lakini Urusi imekanusha madai hayo ya Mar... Read more »
MAGAZETI YA LEO TAREHE 19 FEBRUARI 2024 (HUHESO Digital Blog 12:08 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo tarehe 19 Februari 2024 Read more »
RAIS RUTO WA KENYA NA TUNUBU WA NIGERIA WAKOSOLEWA KUSAFIRI SANA NJE YA NCHI (HUHESO Digital Blog 11:53 0 Rais William Ruto wa Kenya na Rais Bola Tinubu wa Nigeria, wanakabiliwa na ukosoaji kwa safari zao za mara kwa mara nje ya nchi. Wawili hao ... Read more »
QATAR CHARITY YATOA MSAADA KWA WAATIRIKA WA MAPOROMOKO YA UDONGO HANANG' (HUHESO Digital Blog 11:38 0 Ubalozi wa Qatar Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Qatar Charity, kwa niaba ya Serikali ya Qatar, umewasilisha misaada muhimu ya kibin... Read more »
EPUKENI MATUMIZI YASIYO SAHIHI YA P2 (HUHESO Digital Blog 11:34 0 Naibu Waziri wa Afya Dkt, Godwin Mollel amewataka wananchi kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 ... Read more »
TADEPA YASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU KWA JAMII KATIKA KUKABILIANA NA UTAPIAMLO NA UDUMAVU KWA WATOTO WACHANGA UMRI MIAKA 0 HADI 8 (HUHESO Digital Blog 19:45 0 Shirika lisilo la Kiserikali liitwalo TADEPA la mkoani Kagera limewahimiza halmashauri ya wilaya ya Missenyi, linapoweka mikakati mbalimbali... Read more »
RAIS SAMIA AKUTANA NA PAPA FRANCISKO VATICAN. (HUHESO Digital Blog 16:27 0 Katika mazungumzo yao ya faragha yaliyodumu kwa takribani dakika ishirini na tano, wameridhika na uhusiano wa kidiplomasia kati ya Vatican n... Read more »
EDWARD LOWASA AFARIKI DUNIA RAIS SAMIA ATUMA SALAM ZA POLE (HUHESO Digital Blog 17:00 0 Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo Jumamosi Februari 10,2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu kat... Read more »