MKOJO WA SUNGURA DAWA YA WADUDU KWENYE MBOGA MBOGA NA MATUNDA (HUHESO Digital Blog 16:30 0 Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe amegundua matumizi ya mkojo wa sungura katika kufukuza wadudu wanaoshambulia mboga na matunda. Akizungu... Read more »
BARRICK BULYANHULU NA NORTH MARA KIDEDEA TUZO ZA TANTRADE (HUHESO Digital Blog 16:19 0 Mwenyekiti wa Bodi wa STAMICO, Meja Jenerali Mstaafu Michael Isamuhyo, (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa STAMICO, DKt. Venance Mwesse (kusho... Read more »
MWALIMU MBARONI KWA UBAKAJI WA MWANAFUNZI NA KUMSABABISHIA UJAUZITO ALIKUWA AKIKATAA ANAPIGWA VIBOKO (HUHESO Digital Blog 15:39 0 Jeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia Hasaf Raphael Lutebuka (30) mwalimu wa shule ya msingi Nyamgeni wilayani Uvinza kwa tuhuma za u... Read more »
WANNE WATUHUMIWA KUMBAKA MWANAFUNZI WA CHUO KIGOMA, WATATU WAKAMATWA (HUHESO Digital Blog 15:05 0 Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma kwa tuhuma za kumbaka Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 19 Mwanafunzi wa Chuo c... Read more »
SIASA ZILINIPIGA CHENGA, NILIAMBULIA PATUPU LICHA YA KUMWAGA HELA (HUHESO Digital Blog 14:13 0 Ama kwa hakika siasa hapa nchini Kenya huwa na wenyewe jinsi watu wanavyosema. Kila mara nilipowaona wanasiasa wakishinda viti mbalimbali ha... Read more »
WANAFUNZI WENYE WATOTO WAOMBA BWENI (HUHESO Digital Blog 13:56 0 Baadhi ya wanafunzi waliorejea shuleni baada ya kukatisha masomo kutokana na ujauzito wameomba kujengewa hosteli ambazo zitawasaidia kuishi ... Read more »
MKUU WA MKOA AMETUDHALILISHA SISI SIO WAPIKA MAJUNGU-MADIWANI ARUSHA (HUHESO Digital Blog 13:49 0 Madiwani wa Jiji la Arusha wamemshukia Mkuu wa Mkoa huo, John Mongela wakidai amewadhalilisha kwa kuwaita wapika majungu, wafitini na wanakw... Read more »
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 14 JULAI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:18 0 Tafadahali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Alhamisi tarehe 14 Julai 2022 Read more »
MAKAMU WA RAIS AKIFUNGA MAONESHO YA SABASABA (HUHESO Digital Blog 19:12 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Uhandisi na... Read more »
MAFUNZO YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU YAFANYIKA MBEYA (HUHESO Digital Blog 19:08 0 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ULRICH MATEI Julai 13, 2022 amefungua mafunzo ya siku tatu kwa maaf... Read more »
MUME AUA MKE WAKE KWA MAPANGA-MWANZA (HUHESO Digital Blog 19:02 0 Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia mkazi wa Buhongwa, Omary Lucas (48) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Elizabeth Lusana (61) kwa kum... Read more »
RAIS SAMIA AZIDI KUUPIGA MWINGI,AONDOA KERO YA RIBA KATIKA PANGO LA ARDHI. (HUHESO Digital Blog 15:24 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewapunguzia mzigo wa deni wadaiwa sugu wa kodi ya pango la ardhi kwa kuwaond... Read more »
WANAFAMILIA WATATU WAFARIKI PAPO HAPO KWA KUGONGWA GARI ARUSHA WAKITOKA HOSPITALI KWENYE MATIBABU YA MTOTO (HUHESO Digital Blog 14:43 0 Watu watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo,wakazi wa kata ya Terat katika jiji la Arusha,wamepoteza Maisha papo hapo kwa ajali baada ... Read more »
AJALI YA GARI YAUA WATU WATANO SIMIYU (HUHESO Digital Blog 14:42 0 Watu watano wamefariki dunia na wengine 11 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Magereza nje kidogo ya mji wa Bariadi Wila... Read more »
ATUMIA DAWA ZA KUFUBAZA VVU, ARV MIAKA 6 KUMBE HANA VVU. (HUHESO Digital Blog 14:23 0 Mwanamke mmoja raia wa Uganda amejitokeza akitafuta haki kufuatia kugundulika kuwa hana Virusi Vya Ukimwi baada ya miaka sita ya kutumia d... Read more »