MWILI WA MREMBO SALHA WAZIKWA JIJINI MWANZA (HUHESO Digital Blog 18:04 0 Mwili wa Swalha ukisomewa dua nyumbani kwao jijini Mwanza kabla ya maziko. Mwili wa Swalha ukiingizwa kaburini kwa maziko. Mwanamke Swalha S... Read more »
JKT YATANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA 2022 (HUHESO Digital Blog 17:49 0 JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limewaita vijna waliohitimu elimu ya Sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022 kutoka shule zote za sekondari ... Read more »
TANESCO SHINYANGA YAHAMASISHA WANANCHI KUTUMIA MFUMO WA KIDIGITALI KUPATA HUDUMA ZA UMEME ‘NIKONEKT’ (HUHESO Digital Blog 17:38 0 Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Grace Ntungi akielezea kuhusu Mfumo rahisi wa maombi ya huduma ya Umeme kwa njia ya Mtandao ‘K... Read more »
AKAMATWA TUHUMA ZA KUMPA KICHAPO MKEWE KISHA KUMWINGIZIA PANGA SEHEMU ZA SIRI (HUHESO Digital Blog 17:08 0 Picha haihusiani na habari hapa chini Wakati mwingine unaweza usiamini lakini ndivyo ilivyotokea,Gabusi Mrimi (42)mkazi wa kijiji cha Nyah... Read more »
HUKUMU YA SABAYA YAPANGWA JUNI 10 (HUHESO Digital Blog 14:47 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 31 MEI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:14 0 Tafadhali pitia kurasa za magazeti ya leo Jumanne tarehe 31 Mei 2022 Read more »
MAMA MKWE ASIMULIA TUKIO LA MWANAE KUPIGWA RISASI (HUHESO Digital Blog 23:13 0 Mama mzazi wa mwanamke aliyefahamika kwa jina la Swalha ambaye ameuawa kwa kupigwa risasi saba kichwani na mume wake kwa sababu ya wivu wa m... Read more »
WAUAWA NA TEMBO WAKIELEKEA SHAMBANI KILOSA (HUHESO Digital Blog 23:02 0 Watu watatu wameua na Tembo katika kijiji cha Kilosa kwa Mpepo wilayani Malinyi mkoani Morogoro Watu hao walikuwa wakielekea shambani ambap... Read more »
Job Opportunity at Embassy of Switzerland in Tanzania - National Program Officer – Economist (HUHESO Digital Blog 21:57 0 National Program Officer – Economist Full Time Dar es Salaam Embassy of Switzerland in Tanzania As the official representation of Switzerl... Read more »
NAFASI 6 ZA KAZI KUTOKA PHSRF - DATA CLECK (HUHESO Digital Blog 21:54 0 Data Clerks ( 6 Posts ) Temporary PHSRF Data Clerk Job Vacancies at PHSRF ( 6 Posts ) Partners For Health Services And Research Foundatio... Read more »
ALIEHISIWA KUUA MKE WAKE NAE AJIUA-MWANZA (HUHESO Digital Blog 18:14 0 Mwanza. Said Oswayo anayedaiwa kumuua kwa kumpiga risasi kadhaa mke wake Swalha Salum (28) naye amekutwa amejiua kwa kujipiga risasi. Kaimu ... Read more »
MAGARI RUKSA KUPITA KWENYE FLY OVER-DAR (HUHESO Digital Blog 18:02 0 Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbalawa leo Mei 30,2022 amekagua ujenzi wa mradi wa barabara ya juu (fly Over) ya Chang'ombe J... Read more »
KIBANO CHATINGA NYUMBA ZA IBADA, VIONGOZI WA DINI WATAHADHARISHWA (HUHESO Digital Blog 17:52 0 Baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira NEMC, limewakumbusha viongozi wa nyumba za ibada na sehemu za starehe kuzingatia sheria... Read more »
SOKO LA VETENARI TEMEKE LATEKETEA KWA MOTO, MKUU WA MKOA ATOA MAAGIZO MAZITO (HUHESO Digital Blog 14:20 0 Soko la Vetenari lililopo Temeke, Dar es Salaam limeungua kwa moto usiku wa kuamkia leo Mei 30, 2022 huku vibanda 250 kati ya 453 vimetekete... Read more »