MTENDAJI WA KIJIJI AMPIGA MUUZA MKAA MPAKA KUMUUA-MBEYA (HUHESO Digital Blog 13:58 0 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa nane [08] kwa tuhuma za kuharibu mali, kubomoa nyumba ya LUCIA BROWN KASEBELE [50] M... Read more »
MWANAMKE ATEGUKA KIUNO AKIIBA NAZI USIKU WA MANANE (HUHESO Digital Blog 17:25 0 Mwanamke aitwaye Hadija Abdallah Magomba (25), mkazi wa Kijiji cha Mchakama, wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, ameteguka kiuno, nyonga na mkono... Read more »
WANAFUNZI WANNE WATEKETEA KWA MOTO MWADUI... DAWA YA MBU, JIKO LA UMEME VYATAJWA CHANZO (HUHESO Digital Blog 17:21 0 Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa ... Read more »
MWANAMKE AKUTWA AMEFARIKI TANGA (HUHESO Digital Blog 17:18 0 Mkazi mmoja wa wilayani Handeni mkoani Tanga Mariam Mbwana (35) amekutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni huku mwanaume aliyekuwa na... Read more »
WAHAMIAJI 34 WAFARIKI KWENYE MAJI BAADA YA BOTI KUZAMA (HUHESO Digital Blog 14:02 0 Boti ikiwa imebeba wahamiaji haramu TAKRIBANI watu 34 wamefariki dunia baada ya boti iliyobeba wahamiaji haramu kuzama karibu na Syria huk... Read more »
SERIKALI YALAANI WANAUME KUVALISHANA PETE YA UCHUMBA ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 13:55 0 Pete Baada ya kusambaa kwa video mitandaoni zikionesha watalii wa jinsia ya kiume kuvishana pete hadharani, Wizara ya Utalii na Mambo ya Kal... Read more »
WATU WAIBA UNGA BAADA YA LORI KUANGUKA KENYA (HUHESO Digital Blog 13:45 0 Mitandao ya kijamii nchini Kenya imegubikwa na tukio la watu kusomba vifuko vya unga wa mahindi , baada ya lori lililokua limebeba bidhaa hi... Read more »
WANAWAKE WANAAMKA WAMEBAKWA KIMAAJABU- MOROGORO (HUHESO Digital Blog 15:59 0 Wakazi wa Kijiji cha Igawa, Malinyi mkoani Morogoro, wameiomba serikali wilayani hapo kuwasaidia kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa popo bawa ... Read more »
AJALI YAUA WATUMISHI TANESCO (HUHESO Digital Blog 23:59 0 Gari lililokuwa na watumishi wa TANESCO Watumishi watatu wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) mkoa wa Manyara, wamefariki dunia katika ajali... Read more »
TOZO KUSITISHWA KUSABABISHA CHAI NA VITAFUNWA VYA VIONGOZI KUKATWA (HUHESO Digital Blog 14:01 0 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza mlipaji Mkuu wa Serikali kukaa na maafisa masuuli wote ili kuyaangalia upya m... Read more »
MARUBANI WAZICHAPA NDONDI BAADA YA KUKOSANA ANGANI (HUHESO Digital Blog 23:26 0 Marubani mawili wa shirika la ndege la Air-France wamesimamishwa kazi baada ya kupigana katika chumba cha marubani ndege ikiwa hewani. Waw... Read more »
JINAMIZI LA AJALI ZA BASI, YAUA WATU SABA, KUJERUHI 14 MANYARA (HUHESO Digital Blog 22:34 0 Watu saba wamefariki dunia na wengine Kumi na nne wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani baada ya gari dogo la abiria kuacha njia na kupind... Read more »
AJINYONGA KWA KUZIDIWA NA MADENI YA VIKOBA (HUHESO Digital Blog 16:28 0 Mkazi wa Kihesa Kilolo mkoani Iringa, Enea Mkimbo (55) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia kitenge kwa madai ya kuzongwa na made... Read more »
KATEKISTA MBARONI KWA TUHUMA ZA KUBAKA MTOTO WA MIAKA NANE (HUHESO Digital Blog 11:54 0 Jeshi la Polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto w... Read more »
MWALIMU AUWA MKE NA WATOTO KISHA NA YEYE KUJIUA (HUHESO Digital Blog 11:24 0 Saimon Mtambo, katikati ni mke wake Fortunata Abraham, na kulia ni mtoto wakati wa uhai wao Mwalimu wa shule ya msingi ya Mchepuo wa Kiinger... Read more »
AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA BAADA YA KUMUUA MKEWE KISA KANYIMWA TENDO LA NDOA KWA MARA YA PILI (HUHESO Digital Blog 16:15 0 Mshitakiwa Taitus Malambwa mwenye pingu akiwa anatoka nje ya Mahakama baada ya kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kumuua mke wake kwa... Read more »