WATU WAWILI WAUAWA MANISPAA YA SHINYANGA BAADA YA KUVAMIA NYUMBA YA MTU, KAMANDA MAGOMI AFAFANUA NKUMBI 22:10 0 Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi (SACP ) Janeth Magomi. Watu wawili wakazi wa Manispaa ya... Read more »
MTOTO WA MIAKA MIWILI ADAIWA KUMWAGIWA MAJI YA MOTO NA BABA WA KAMBO-KAHAMA NKUMBI 17:06 0 NA NEEMA NKUMBI HUHESO FM-KAHAMA Mtoto wa miaka miwili jina tunalo mkazi wa mtaa wa shunu kata ya nyahanga manispaa ya kahama mkoani shinyan... Read more »
WANANCHI WAASWA KUEPUKA KUKOPA KWENYE VIKUNDI VISIVYO RASMI NKUMBI 17:04 0 Na Mwandishi wetu Serikali imetoa rai kwa wananchi kuepuka kukopa fedha kwenye vikundi vinavyotoa huduma za kifedha bila kusajiliwa rasmi k... Read more »
WAZIRI SILAA AZUIA UTAPELI ENEO LA NSSF NKUMBI 15:09 0 *Ni baada ya NSSF kuweka mtego wa kuwakamata matapeli hao *Walitaka ‘kumpiga’ Mama milioni nane, wakaishia mikononi mwa polisi ... Read more »
WAZIRI MKUU ATAKA UWIANO SAWA WA WALIMU KATI YA MIJINI NA VIJIJINI NKUMBI 13:31 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Elimu na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wafanye mapitio ya ikama zao kuangalia mlundi... Read more »
DKT NCHEMBA ALIOMBA BUNGE BAJETI YA WIZARA YA FEDHA SHILINGI TRILIONI 44.19 NKUMBI 13:22 0 Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuiidhinishia Wizara yake makadirio ya ... Read more »
MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA JIMBO LA KWAHANI WAPIGWA MSASA, WAHIMIZWA WELEDI NKUMBI 11:23 0 Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Dkt.Zakia Mohamed Abubakar leo tarehe 04 Aprili, 2024 wakati akifungua mafunzo kwa Makarani waongo... Read more »
MBAPPE ASAINI REAL MADRID MSHAHARA TSH BILIONI 42 KWA MWAKA NKUMBI 00:10 0 Baada ya kuachana rasmi na Klabu ya Paris Saint-Germain akiwa mchezaji huru, Kylian Mbappe (25) amejiunga na kikosi cha Real Madrid baada ... Read more »
SERIKALI YAHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA HUDUMA ZA POSTA NKUMBI 17:28 0 Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Dkt. Mzee Suleiman Mndewa amehimiza matumizi ya teknolojia katika ut... Read more »
MTOTO MWENYE UALBINO AIBIWA NA WASIOJULIKANA.. DC NYAMAHANGA ASEMA ZOEZI LA KUMTAFUTA LINAENDELEA NKUMBI 17:07 0 Mkuu wa wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga akimpa pole mama wa mtoto aliyepotelewa na mtoto wake Mkuu wa wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyama... Read more »
RAIS SAMIA ATUNUKIWA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA KOREA NKUMBI 11:27 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya ... Read more »
WAZIRI MKUU: TUTAENDELEA KUWASHIRIKISHA WAVUVI NA WAFUGAJI KWENYE MIPANGO YA MAENDELEO NKUMBI 11:22 0 Waziri Mkuu Kassim Majakiwa amesema Serikali inaendelea kujikita katika kuhakikisha inaimarisha na kuwashirikisha wavuvi na wafugaji katika... Read more »
UNDENI VIKUNDI ILI MNUFAIKE NA MIKOPO-WAZIRI MKUU NKUMBI 19:48 0 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 02, 2024 amezindua jengo la kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi katika halmashauri ya wilaya ya Nyan... Read more »
MWIGULU NA AWESO WASHUHUDIA KUSAINIWA MKATABA WA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI YA ZIWA VICTORIA KUTOKA KAHAMA HADI USHETU WA ZAIDI YA BILIONI 44 NKUMBI 19:30 0 Zoezi la utiaji saini likiendelea NA NEEMA NKUMBI- HUHESO DIGITAL KAHAMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Ha... Read more »
WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG’HWALE, GEITA NKUMBI 12:51 0 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 02, 2024 ameweka jiwe la msingi la jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Nyangh’hwale ambalo u... Read more »
DAWASA YAZIJENGEA UWEZO KAMATI ZA MIRADI KISARAWE NKUMBI 18:38 0 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendesha mafunzo kwa Kamati ya kupokea na kushughulikia malalamiko ya wan... Read more »