RAIS SAMIA ATUNUKIWA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA KOREA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 3 June 2024

RAIS SAMIA ATUNUKIWA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA KOREA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 03 June, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 03 June, 2024. Wa kwanza kushoto ni Amidi wa Shule Kuu Soo Chang Hwang

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso