RAIS SAMIA AMTEUA DKT. MWIGULU NCHEMBA KUWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday, 13 November 2025

RAIS SAMIA AMTEUA DKT. MWIGULU NCHEMBA KUWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Jina la Mbunge huyo wa Iramba Magharibi limewasilishwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri kwa ajili ya Bunge kumdhibitisha kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Novemba 13, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso