MHE. DKT MWIGULU APOKELEWA OFISI YA WAZIRI MKUU - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday, 13 November 2025

MHE. DKT MWIGULU APOKELEWA OFISI YA WAZIRI MKUU



Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma Novemba 13, 2025.


Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na kuthibitishwa na bunge.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso