MPINA ATEULIWA NA TUME KUWANIA URAIS 2025 - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday, 13 September 2025

MPINA ATEULIWA NA TUME KUWANIA URAIS 2025


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi nakala ya fomu za uteuzi kwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT - WAZALENDO), Mhe. Luhaga Joelson Mpina aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej (kushoto) leo Septemba 13, 2025 Jijini Dar es Salaam, baada ya wagombea hao kuteuliwa na Tume kuwania nafasi hizo katika uchaguzi Mkuu wa utakao fanyika Oktoba 29, 2025. (Picha na INEC).


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akisaini na kupiga muhuri fomu za uteuzi kwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT - WAZALENDO)
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.
Baadhi ya viongozi wa ACT WAZALENDO wakiwa katika uteuzi wa mgombea Urais wa chama chao.

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT - WAZALENDO), Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej.


Wajumbe wa Tume wakiwa katika Uteuzi








No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso