JUMA MWESIGWA AJITOSA UBUNGE KAHAMA MJINI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday, 1 July 2025

JUMA MWESIGWA AJITOSA UBUNGE KAHAMA MJINI






NA NEEMA NKUMBI- HUHESO DIGITAL KAHAMA

Mkurugenzi wa taasisi ya HUHESO Foundation na HUHESO FM, Juma Mwesigwa, Julai 1, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kahama mjini kupitia chama cha mapinduzi (Ccm).



Fomu hiyo amekabidhiwa leo na katibu wa chama cha mapinduzi wilaya ya Kahama, Andrew Chatwanga ikiwa ni siku ya nne toka fomu hizo kuanza kutolewa


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso