MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AFUATILIA HOTUBA YA RAIS SAMIA AKIWA ABUJA, NCHINI NIGERIA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday, 27 June 2025

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AFUATILIA HOTUBA YA RAIS SAMIA AKIWA ABUJA, NCHINI NIGERIA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa Abuja nchini Nigeria kushiriki Mkutano wa 32 wa Benki ya Afrexim.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso