Kanda ya ziwa yote itakuwa yetu, hayo yamezungumzwa na Kiongozi Mkuu wa Top of the game team Afrika Kiongozi Kambarage ambaye ameshiriki katika ufunguzi wa ofisi mpya ya usambazaji wa bidhaa za Kampuni ya BF SUMA Tanzania ambapo Ofisi hiyo imefunguliwa Karibu na Mahakama ya mwanzo nyuma ya Ofisi za CCM Mkoa jijini Mwanza ambapo bidhaa hizo zinatibu magonjwa yasiyo ambukiza.
Kiongozi Kambarage ambaye ni Kiongozi Mkuu wa Top of the game team Africa akitoa msisitizo kwa viongozi wakati wa ufunguzi wa Ofisi ya BF Suma jijini Mwanza.
Akiongea na wanachama waliofika katika uzinduzi wa ofisi hiyo kiongozi Kambarage ambaye ni Kiongozi Mkuu wa Top of the game team Africa, pia mshindi wa gari anaytarajiwa kukabidhiwa gari lake rasmi tarehe 19 Desemba 2024 amewataka wanachama na wasiyo wanachama kuitumia ofisi hiyo kwa ajili ya kukuza biashara zao na kuhakikisha watu wanapata huduma staiki bila upendeleo wowote.
Kiongozi Kambarage akiwa na Subaru ambayo anatarajia kukabidhiwa tarehe 19 Desemba 2024 jijini Dar es salaam.
Aidha Kiongozi Daniel Limbu ambaye pia ni kiongozi wa Top of the game team Afrika kwa Kanda ya ziwa amewaomba wanachama kuchapa kazi kwani uwepo wa duka hili ni mkombozi mkubwa kwa wanachama wote wa Kanda ya ziwa na itasaidia sana timu yetu kukua kwa haraka kuelekea utajiri mkubwa ambayo unapatikana tu BF Suma. Kiongozi Limbu ni mshindi wa gari pia ni mshindi wa safari ndani ya kipindi kifupi ameeleza, pia tunataka kutoka Kanda ya ziwa wengine waweze kuja kujifunza kwetu kwa kuandaa mkakati mkubwa wa mtaala wa mafunzo na mauzo kwa bidhaa hizi kwani timu yetu imejiwekea mkakati mkubwa wa kuona kila mwanachama wa timu yetu anakuza biashara yake kwa haraka.
Kiongozi Limbu Kushoto na katikati ni kiongozi Kambarage na kulia ni Kiongozi Mwesigwa katika furaha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa mpya ya BF Suma ambayo iko chini ya Top of the game team Africa ambapo Kiongozi Mwesigwa ndiye Mmiliki wa Duka hilo.
Aidha kiongozi Juma Mwesigwa kwa kushirikiana na kiongozi mwenza Scholastica Masolwa Leonard ambao pia ndiyo wamiliki wa duka hilo wameshiriki zoezi hilo ambapo wamesema ofisi hiyo inakwenda kuwa suluhisho la magonjwa yasiyoambukiza kwa wananchi wa jiji la Mwanza kwani watapata elimu sambamba na vipimo na ushauri bure juu ya magonjwa hayo na wamewaomba wanachama ushirikiano ili kuweza kufikisha huduma hii kwa jamii, lakini pia Ofisi hii ni ya wanachama wote bila kujali anatoka timu gani na hii itasaidia kujenga umoja na mshikamano na kusaidia Kampuni ya BF Suma kukua zaidi na kufikia watu wengi amesema Mwesigwa, Ameongeza na kusema jiji la Mwanza ni kubwa linahitaji zaidi huduma hii ya bidhaa hizi kwa wingi sana ili kupunguza ombwe la kukosa bidhaa hizi kwa watumiaji.
Kiongozi Juma Mwesigwa akiwa na Kiongozi Kambaraga ofisi mpya ya Bf Suma Mwanza.
Kiongozi Madam Scholastica ameongeza na kusema “Bidhaa zipo za kutosha kwa magonjwa yote yasiyoambukiza ambayo ni kisukari, saratani, vidonda vya Tumbo, mifupa, Pingili za Mgongo, Bawasili, Presha na magonjwa mengine mengi ikiwemo uzazi kwa wanawake, uzazi kwa wanaume na nguvu za kiume”na magonjwa mengine mengi hivyo anawaomba wanachama kuchapa kazi na kuongeza elimu kwa jamii ili watu waweze kuzitumia bidhaa hizi ambazo zimeleta mapinduzi makubwa na kuleta mabadiliko chanya kwa watumiaji.
Kiongozi Madam Scholastika akiwa katika Duka la BF Suma jijini Mwanza.
Aidha kiongozi Madam Scholastica amesema kwa sasa tunazo ofisi tatu ya Kahama, Shinyanga na sasa Mwanza na ofisi hizo zitakuwa wazi muda wote kwa ajili ya utoaji huduma bora za kitaalamu juu ya magonjwa yasiyoambukiza, na amesisitiza kuwa kwa wanachama wote tunaifanya kazi hii kwa weledi mkubwa na hatutapenda kusikia Mwanachama anapoteza Pointi (PV) zake kwa uzembe.
Kwa huduma ya ofisi ya Mwanza tafadhali unaweza kupiga simu kwa namba +255 686 522 050
Ukaguzi wa ofisi unaendelea na viongozi wa Top of the game team Africa jijini Mwanza
Kiongozi Mariam Hussein akiwa na Mwanachama mpya Lightness katika ofisi mpya ya Top of the Game Team Africa jijini Mwanza.
Ofisi za Top of the game team Afrika ikiwa na bidhaa za BF SUMA jijini Mwanza, ofisi ipo jirani na mahakama ya mwanzo nyuma ya Ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza
Kiongozi Madam Amina Kwai akiwa na bidhaa zake baada ya kununua wakati wa uzinduzi wa duka la Bidhaa za Bf Suma jijini Mwanza ambalo lipo chini ya Top of the Game Team Africa.
No comments:
Post a Comment