SOPHIA MJEMA ATEULIWA NA RAIS SAMIA KUWA MSHAURI WAKE AONDOLEWA CCM - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 22 October 2023

SOPHIA MJEMA ATEULIWA NA RAIS SAMIA KUWA MSHAURI WAKE AONDOLEWA CCM


Sophia Mjema aliekuwa Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi wa CCM


Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Oktoba 22, 2023 amemteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.
Kabla ya uteuzi huo, Mjema alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM).


Chanzo:Mwananchidigitalinstagram

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso