Breaking News : PAUL MAKONDA KATIBU MPYA WA NEC, ITIKADI NA UENEZI CCM - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 22 October 2023

Breaking News : PAUL MAKONDA KATIBU MPYA WA NEC, ITIKADI NA UENEZI CCM

 


Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Paul Makonda kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akichukua nafasi ya Sophia Mjema aliyeteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso