ARGENTINA MABINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2022 - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 18 December 2022

ARGENTINA MABINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2022

 Ni mechi iliyokuwa na mvuto usiyomithirika baada ya kumaliza dakika 120 wakitoshana nguvu kwa kutoka kwa bao 3-3 na kupiga mikwaju ya penati ambapo Golikipa wa timu ya Argentina amekuwa kivutio kwa kuweza kudaka penati na kuwapeleka waagentina katika kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia uko Qatar




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso