WATUMISHI WALALAMIKA MITANDAONI NYONGEZA YA MSHAHARA WA ASILIMIA 23.3 MSEMAJI WA SERIKALI AAHIDI KUTOLEWA UFAFANUZI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday 23 July 2022

WATUMISHI WALALAMIKA MITANDAONI NYONGEZA YA MSHAHARA WA ASILIMIA 23.3 MSEMAJI WA SERIKALI AAHIDI KUTOLEWA UFAFANUZI



Serikali ya Tanzania imewataka wafanyakazi kuwa watulivu huku ikahidi kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara ya mwezi Julai, 2022.


Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kupitia ukurasa wa Twitter usiku wa jana Ijumaa Julai 22, 2022 imeahidi kutolea ufafanuzi suala hilo.


"Ndugu wafanyakazi naomba tutulie, Serikali itatoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara iliyotokea katika mishahara ya mwezi Julai, 2022. Gerson Msigwa. Msemaji Mkuu wa Serikali” imesema taarifa hiyo ya Msigwa bila kueleza lini ufafanuzi huo utatolewa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso