NAFASI ZA KAZI 7 - HALMASHAURI YA WILAYA IRINGA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 16 June 2022

NAFASI ZA KAZI 7 - HALMASHAURI YA WILAYA IRINGA

 

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa inawatangazia ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, kuomba nafasi za kazi kama ifuatavyo


2. Katibu Mahususi Daraja la III - Nafasi 3

3. Dereva Daraja la II - Nafasi 4


Maombi yote yatumwe kupitia Posta kwa Anwani Ifuatayo


MKURUGENZI MTENDAJI (W),

HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA,

S.L.P 108,

IRINGA






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso