BREAKING NEWS: BASI LA ZUBERI LILILOTUMBUKIA DARAJANI LASABABISHA VIFO VYA WATU 3 - SHINYANGA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 15 June 2022

BREAKING NEWS: BASI LA ZUBERI LILILOTUMBUKIA DARAJANI LASABABISHA VIFO VYA WATU 3 - SHINYANGA

 

Na Huheso Digital Blog


Ajali ya gari kugonga kingo ya daraja na kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu na majeruhi saba. 

 

Mnamo tarehe 15/06/2022 majira ya saa 14.40 katika barabara ya mwanza shinyanga eneo la mwigumbi gari namba T435 DJS scania mali ya zubery liligonga ukingo wa daraja na kutumbukia bondeni na kusababisha vifo hivyo ambapo mmoja wao ni dereva wa basi hilo aitwaye  hamza katima. 


 Akitoa taarifa hizo za awali kamanda wa jeshi la polisi  mkoa wa shinyanga ACP  GEORGE KYANDO aweleza kuwa Chanzo cha tukio hilo  ni  dereva wa gari alipata tatizo la kiafya akiwa safarini.

 

Wito kwa madereva ni kwamba ukiona hali ya afya yako siyo njema usilazimishe safari matokeo yake ni kama haya.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso