SERIKARI YATANGAZA AJIRA 1904 KADA MBALIMBALI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday 28 May 2022

SERIKARI YATANGAZA AJIRA 1904 KADA MBALIMBALI

 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara Zinazojitegemea, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Elfu moja mia tisa na nne (1904) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. 


BOFYA HAPA CHINI KUPATA TANGAZO LA KAZI HIZO


NAFASI ZA KAZI PDF

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso