SERIKALI YAMWAGA AJIRA MPYA 104 SEKTA MBALIMBALI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 27 May 2022

SERIKALI YAMWAGA AJIRA MPYA 104 SEKTA MBALIMBALI

 SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

 Ref.No.JA.9/259/01/A/82 27 Mei, 2022 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia moja na nne (104) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. 


BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA HIZO KAZI


FUNGUA PDF HAPANo comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso