NAFASI ZA KAZI 22 - HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 27 May 2022

NAFASI ZA KAZI 22 - HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI

 


Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti inawatangazia ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, kuomba nafasi za kazi kama ifuatavyo


1. Mtendaji wa Mtaa Daraja la III - Nafasi 13

2. Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II - Nafasi 5

4. Katibu Mahususi Daraja la 3 - Nafasi 1

3. Dereva Daraja la II - Nafasi 3


Maombi yote yatumwe kupitia Posta kwa Anwani Ifuatayo


MKURUGENZI MTENDAJI (W),

HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI,

S.L.P 176,

MUGUMU SERENGETI


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso