MORISSON,MUGALU,BANDA WAANZA MBELE DHIDI YA ORLANDO - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 17 April 2022

MORISSON,MUGALU,BANDA WAANZA MBELE DHIDI YA ORLANDO






Dakika chache zijazo wawakilishi pekee wa tanzania katika michuano ya Kombe la wawakilishi Afrika, Simba wanaingia uwanjani huku kikosi chake kikiongozwa upande wa ushambuliaji na wachezaji,benard Morison, Peter Banda na Chris Mugalu.

Katika pambano hilo linalochezwa Uwanja wa Mkapa wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho ambao ni Simba wanatarajiwa kusaka ushindi mbele ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.

Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kitaanza Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku itakuwa namna hii:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Zimbwe Jr
Henock Inonga
Pascal Wawa
Jonas Mkude
Pape Sakho
Taddeo Lwanga
Mugalu
Bernard Morrison
Peter Banda.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso