KAPOMBE AWAKOSHA MASHABIKI WA SIMBA KWA MKAPA, NUSU FAINALI YANUKIA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 17 April 2022

KAPOMBE AWAKOSHA MASHABIKI WA SIMBA KWA MKAPA, NUSU FAINALI YANUKIA

 


SIMBA wameendelea kulinda kauli yao kuwa kwa Mkapa Hatoki Mtu baaada ya kuichapa bao 1_0 Orlando Pirates mchezo wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho barani Afrika uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam .

Simba walipata bao la ushindi dakika ya 67 likifungwa na beki kisiki Shomari Kapombe kwa Mkwaju wa Penalti baada ya Benerd Morison kuchezewa rafu ndani ya 18 na mwamuzi kuamua kuwa Penalti.

Simba na Orlando watarudiana April 24,2022 mchezo utakaochezwa nchini Afrika Kusini na ndo utaamua nani atinge hatua ya Nusu Fainali.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso