WASICHANA WANG'ARA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE.....Tazama hapa matokeo zaidi........ - HUHESO DIGITAL BLOG
  • Home
  • About
  • Contact

HUHESO DIGITAL BLOG
    • Features
    • _Multi DropDown
    • __DropDown 1
    • __DropDown 2
    • __DropDown 3
    • _ShortCodes
  • Breaking

    Post Top Ad

    Saturday, 15 January 2022

    Home HABARI WASICHANA WANG'ARA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE.....Tazama hapa matokeo zaidi........

    WASICHANA WANG'ARA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE.....Tazama hapa matokeo zaidi........

    (HUHESO Digital Blog 17:22 ,HABARI

     

    Wasichana wameng'ara katika orodha ya wanafunzi kumi bora kitaifa kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne,uliofanyika mwaka jana.

    Hayo yamebainishwa leo Januari 15, 2022 na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani (Necta), Dk Charles Msonde wakati akitoa taarifa ya matokeo ya darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.

    Matokeo hayo yanaonyesha wasichana wanane wameingia kwenye orodha ya wanafunzi kumi bora waliofanya vizuri kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliifanyika Novemba mwaka jana.

    Kati ya hao, wasichana saba wanatoka shule ya St. Francis Girls iliyopo mkoani Mbeya, msichana mwingine akitoka shule ya Bright Future Girls huku wavulana pekee walioingia kwenye kumi bora kitaifa wakitoka shule za Feza Boys ya Dar es Salaam na Ilboru ya Arusha.

    Walioingia kwenye orodha hiyo ni pamoja na Consolata Lubuva, Buthoi Nkangaza, Wilihelmina Mujarifu, Glory Mbele na Mary Ngoso, wote kutoka shule ya St. Francis Girls iliyopo mkoani Mbeya.

    Bonyeza kila kiungio hapa chini kuona matokeo husika;

    MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2021

    MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2021

    MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2021

    MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2021

    Tags HABARI#
    Share This
    Author Image

    About (HUHESO Digital Blog

    HABARI
    by (HUHESO Digital Blog at 17:22
    Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
    Tags: HABARI

    No comments:

    Post a Comment

    Newer Post Older Post Home
    Subscribe to: Post Comments (Atom)

    Post Top Ad

    Author Details

    Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.

    Kilele Foundation Kenya

    RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
    Powered by Blogger.

    WANAOTUFUATA

    SUPPORTING LIVESTRONG

    SUPPORTING LIVESTRONG

    PARTNERSHIP NUTRITION IN TANZANIA

    PARTNERSHIP NUTRITION IN TANZANIA

    JOIN US TO CLIMB KILIMANJARO FOR EAST AFRICA OUTREACH FOR WOMEN.

    JOIN US TO CLIMB KILIMANJARO FOR EAST AFRICA OUTREACH FOR WOMEN.
    Please support our cause to climb Kilimanjaro for East Africa Outreach for Women, Join us to support small business in East africa.

    TANZANIA

    TANZANIA

    Mount Kilimanjaro in Tanzania

    Mount Kilimanjaro in Tanzania

    KAHAMA IN TANZANIA

    KAHAMA IN TANZANIA

    Welcome in Tanzania.

    Welcome in Tanzania.

    POPULAR HUHESO BLOG

    • NGOMA MPYA YA KISIMA MAJABALA - KARIBU
        Pata nafasi kumsapoti Kisima katika video yake mpya iitwayo Mele Mpya Itwayo Mele Ni Ngoma Kali  Kisima Majabala_Song_Mele Director_Migera...
    • GUDE GUDE NA WIMBO WAKE MPYA WA SHIDA
       Usipite bila kuangalia ngoma kali ya Gudegude iitwayo shida
    • NYIMBO MPYA YA AMOSI MALINGITA KWA JINA LA WASHILILE
       Amos Malingita anakuleta kibao kipya cha ngoma ya asili ya kisukuma kinachoitwa WASHILILE, pata nafasi ya kusikiliza kazi yake, Karibu sana...
    • NGOMA MPYA YA NTEMI OMABALA MWANAKANG'WA - WAMPUKUCHA
      Burudika na wimbo mpya wa Ntemi Omabala - Mwanakang'wa katika wimbo wa Wampukucha
    • NGOMA MPYA YA NTEMI OMABALA, NI KALI YENYE VIWANGO
      Karibu uangalie ngoma mpya ya Ntemi Omabala iitwayo Harusi ya Stella (Bukene)

    Subscribe Huheso Digital Blog

    Posts
    Atom
    Posts
    Comments
    Atom
    Comments

    Pages

    • Home

    CONTACT US

    • (HUHESO Digital Blog
    • NKUMBI

    EXECUTIVE DIRECTOR

    EXECUTIVE DIRECTOR
    JUMA MWESIGWA

    CHUO

    CHUO

    HUHESO FOUNDATION

    NON GOVERMENTAL ORGANIZATION

    Found in the year 2009 as supportive group of Children, Youth,Women and disabled group
    especially people with special need families. The group was serving the neediest families
    affected by HIV/AIDS and CANCER. The Foundation for Human Health society is a Foundation of marginalized people
    and community based organizations dealing with HIV/AIDS issues human rights abuse,Cancer,Breast Cancer,
    reproductive health to adolescents/youth and empowerment of women in TANZANIA.

    Labels

    BURUDANI NA MICHEZO HABARI HUHESO FOUNDATION JOB OPPORTUNITY MAGAZETI MATANGAZO YA TENDA MATUKIO MICHEZO NEWSPAPER SIASA

    ALL VISTORS COUNTER

    Copyright © HUHESO DIGITAL BLOG
    Huheso