BF SUMA TANZANIA WAMEZINDUA RASMI OFISI ZAO KAHAMA MJINI (HUHESO Digital Blog 18:07 0 Kampuni ya Bright Future Superior Unique Manufacturer of America (BF SUMA) imezindua rasmi tawi Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga ambapo wana... Read more »
TFF KUSHIRIKIANA NA KDFA WAZINDUA RASMI MAFUNZO YA MAKOCHA KAHAMA (HUHESO Digital Blog 20:36 0 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Tanzania Footbal Federation (TFF) Kwa kushirikiana na uongozi wa Chama Cha Mpira wa miguu Wilayani Ka... Read more »
YANGA WARUHUSU WATOTO KUINGIA BURE UWANJANI (HUHESO Digital Blog 20:05 0 MENEJA Habari na Mawasiliano wa Yanga , Ally Kamwe amesema klabu hiyo inadhamiria kuanzisha utaratibu wa kuruhusu watoto chini ya umri wa ... Read more »
VIONGOZI WA JUMUIYA YA MARIDHIANO NA AMANI KATA YA ISAKA WATAKIWA KUWA NA UONGOZI ULIOTUKUKA (HUHESO Digital Blog 16:21 0 Mkurugenzi idara ya ulinzi, usalama uwajibikaji na itifaki mheshimiwa Peter Kitanwa amewataka viongozi wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Kat... Read more »
NCHI ZA SADC ZAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MAONO YAKE KATIKA USIMAMIZI WA MISITU YA MIOMBO (HUHESO Digital Blog 14:24 0 Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Southern African Development Community-SADC) zimempongeza Rais wa Jamhuri ya Muung... Read more »
JESHI LA POLISI MKOA WA SHINYANGA LAKAMATA VITU NA VIELELEZO MBALIMBALI (HUHESO Digital Blog 11:49 0 Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limekamata mafuta ya dizeli lita 320, vipande 250 vya nondo, Simu za wizi, Nyaya na matairi ya gari baada... Read more »
MALECELA ATAMANI SERIKALI MOJA YA MUUNGANO (HUHESO Digital Blog 10:04 0 Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, Dk. John Malecela amesema anatamani kuona ndoto ya kuwa na Serikali Moja ya Jamhuri ya Muun... Read more »
BARAZA LA USHINDANI (FCT) LATOA MAFUNZO KWA WADAU KUIMARISHA SOKO LENYE USAWA (HUHESO Digital Blog 09:41 0 Baraza la Ushindani (FCT) limeandaa mafunzo kwa wadau wake wakiwemo wafanyabiashara, watoa huduma na walaji ikiwemo jamii kwa lengo la kuwae... Read more »
MKATABA WA YANGA NA NBC KUWANUFAISHA WANACHAMA (HUHESO Digital Blog 18:03 0 "Siku ya leo ni siku kubwa na ya kihistoria katika soka letu la Tanzania, benki ya NBC TANZANIA ndio Benki kongwe nchini na Kadi hii ya... Read more »
YANGA YAINGIA MKATABA NA NBC BANK (HUHESO Digital Blog 17:52 0 "Sisi kama Young Africans Sports Club tunajivunia kuingia makubaliano na Benki bora NBC Tanzani a ya kuwa hudumia kwenda kuwahudumi... Read more »
YANGA WAITAZAMA SIMBA KAMA TISHIO-KAMWE (HUHESO Digital Blog 17:32 0 Kuelekea mchezo wetu wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, sisi Young Africans SC hatuiangalii Simba kama nyie wengine mnavyoiangalia, sisi tunaing... Read more »
DKT. NCHIMBI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA SUMBAWANGA (HUHESO Digital Blog 17:14 0 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameagiza wakandarasi kukamilisha ujenzi Machi mwakani na kwa ubora un... Read more »
LESENI 2,106 ZIMETOLEWA NA TBS KWA WAZALISHAJI WA BIDHAA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU (HUHESO Digital Blog 17:06 0 Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kipindi cha miaka mitatu, jumla ya leseni za ubora wa bidhaa 2,106 zilitolewa kwa wazalishaji mbalimba... Read more »
KAMATI YA WATAALAMU WA MASUALA YA HABARI ZANZIBAR YAONGEZA KASI UFUATILIAJI MAREKEBISHO SHERIA ZA HABARI (HUHESO Digital Blog 17:01 0 Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) imekuwa mstari wa mbele katika jitihada za kufuatilia mchakato wa marekebisho ya ... Read more »