AMANI NA UTULIVU NDIO NGUZO KUU YA UCHUMI NA MAENDELEO ENDELEVU ZANZIBAR NKUMBI 23:33 0 Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema amani na utulivu wa Zanzibar ni msingi mkuu wa uchumi wa vis... Read more »
WAZIRI SANGU APONGEZA WCF KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS SAMIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI NKUMBI 23:29 0 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amepongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa kuunga mkono ... Read more »
SERIKALI YACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI NA KUBORESHA MFUMO WA UNUNUZI WA PAMBA NKUMBI 23:24 0 Serikali imetoa agizo la kuchukuliwa kwa hatua za haraka ili kudhibiti na kupunguza bei ya mfuko wa saruji ambayo imekuwa ikipanda hadi kufi... Read more »
WAFANYABIASHARA WAKUMBUSHWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA UBUNIFU NA UAMINIFU KUKUZA BIASHARA NKUMBI 17:07 0 Dunia ya sasa ya kidijitali imefanya mitandao ya kijamii kuwa nyenzo kuu ya kukuza biashara, jambo linalowataka wajasiriamali kutumia maju... Read more »
KAMPUNI KUBWA ZA JAPAN KUTUA NCHINI MACHI 2027 KUTATHMINI FURSA ZA UWEKEZAJI WA VIWANDA NA BIASHARA NKUMBI 17:01 0 Kampuni kubwa kutoka nchini Japan zinatarajia kufanya ziara rasmi nchini mwezi Machi 2027 kwa lengo la kutathmini fursa za uwekezaji na ku... Read more »
TANZANIA YAKARIBIA KUUNGANISHWA NA SOKO LA UMEME KUSINI MWA AFRIKA NKUMBI 16:57 0 Tanzania ipo katika hatua za mwisho za kuunganishwa na soko la umeme la Kusini mwa Afrika huku Mradi wa Kuunganisha Gridi za Umeme Tanzania... Read more »
SIRI YA KUUZA MTANDAONI: MAUDHUI MAZURI YASHINDA WAFUASI WENGI NKUMBI 17:50 0 Wafanyabiashara wanaotumia mitandao ya kijamii kujitangaza wametakiwa kuwekeza katika utengenezaji wa maudhui yenye ubora na mvuto ili kuo... Read more »
WAWEKEZAJI WA UTALII WATENGENEZE FAIDA KWA WANANCHI, SIO FAIDA TU NKUMBI 17:44 0 Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, amewasisitiza wawekezaji katika sekta ya utalii kuhakikisha miradi yao inaleta tija ya moja kwa moj... Read more »
WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA NKUMBI 17:38 0 Balozi wa Tanzania Nchini Algeria, Mobhare Matinyi Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda *** Tanzania imepata nafasi 150... Read more »
TANZANIA NA KOREA KUSINI ZASUKUMA MBELE USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NKUMBI 17:37 0 Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Korea Kusini zimefikia makubaliano ya kuharakisha utekelezaji wa ahadi ya dola za Marekani bilioni 2.5 zi... Read more »