STAMICO NDANI YA MAELEKEZO MAZITO KUOKOA MAISHA NKUMBI 17:00 0 Katika hatua kubwa ya kimkakati inayolenga kuchochea uchumi wa viwanda na kulinda ikolojia ya nchi, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ... Read more »
TUME YA JAJI CHANDE YAONGEZEWA SIKU 42 NKUMBI 16:58 0 KATIKA kile kinachoonekana ni azma ya Serikali kuhakikisha kuwa taarifa ya uchunguzi wa matukio ya uchaguzi inakuwa ya kina na shirikishi, ... Read more »
TATHMINI YA MOODY’S YAZIBA MIDOMO WAHUNI, TANZANIA INAPAA KIUCHUMI NKUMBI 16:55 0 Wakati 'wahuni' wachache wakihaha usiku na mchana kutafuta kila mbinu ya kuchafua taswira ya Tanzania na mwelekeo wa Serikali ya Awa... Read more »
MBUNGE SIGRADA ANAVYOVUNJA MIIKO YA SIASA KWA MAENDELEO YA UMMA NKUMBI 16:52 0 Katika hali inayoonesha kuwa siasa si uadui bali ni nyenzo ya kuwahudumia wananchi, Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Mkoa wa Njombe, Mhe. S... Read more »
VIJANA WA SHINYANGA WATAKIWA KUSHIRIKI MAMBO YA KIUCHUMI NA SIO KUWA WATAZAMAJI; BILIONI 200 ZIMETENGWA KWA AJILI YAO NKUMBI 15:32 0 Neema Nkumbi, Shinyanga Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka, amewataka vijana wa Mkoa wa Shinyanga kuwa... Read more »
MAADILI YA KALE: NGUZO ILIYOSASAULIWA NA GEN Z KATIKA MBIO ZA MAENDELEO NKUMBI 10:04 0 KATIKA ulimwengu unaokwenda kasi mithili ya mwanga, ambapo teknolojia imetawala kila nyanja ya maisha, jamii imeaswa kutofanya makosa ya kuz... Read more »
SERIKALI IKIENDA MBELE YATAKA WATENDAJI KUACHA KUWA VIKWAZO NKUMBI 09:52 0 KATIKA kile kinachoonekana kuwa ni muendelezo wa falsafa ya Serikali ya Awamu ya Sita ya "Kazi Iendelee" kwa vitendo na matokeo ya... Read more »
VITA YA AJIRA: Dkt. Bashiru na Operesheni ya Kuiondoa Tanga Fresh Kwenye Jeneza NKUMBI 09:46 0 Sio tu kikao cha tathmini, bali ni operesheni ya uokozi. Ndivyo unavyoweza kuelezea hali iliyojiri jijini Tanga wakati Waziri wa Mifugo na U... Read more »
MAAGIZO YA KIHONGOSI YANAONESHA TAIFA LINALODAI UWAJIBIKAJI NKUMBI 09:35 0 KATIKA hali inayozidi kuonesha kuwa CCM imedhamiria kusafisha urasimu na uzembe katika usimamizi wa rasilimali za umma, Katibu wa NEC, Itika... Read more »
WAZIRI SANGU ARIPUA CHECHE ZA MARIDHIANO NKUMBI 09:27 0 KATIKA kile kinachoonekana kuwa ni mkakati kabambe wa Serikali ya Awamu ya Sita kuimarisha misingi ya umoja na utulivu wa kitaifa, Waziri wa... Read more »
SERIKALI YAIFUNGUA KIGOMA KIUCHUMI: MIRADI YA BANDARI YAFIKIA HATUA NZURI NKUMBI 19:15 0 NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile (Mb), ameeleza kuridhishwa kwake na maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati mkoani Ki... Read more »
MASAUNI: VIJANA KUWENI WALINZI EPUKENI SUMU YA UDINI NA UKABILA NKUMBI 19:12 0 WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ametoa wito kwa vijana nchini kuwa walinzi w... Read more »
ZIWA NYASA LAFUNGULIWA KITALII: BOTI YA KISASA YA 'LUNDO ISLAND TOURS' YAZINDULIWA NKUMBI 19:09 0 WILAYA ya Nyasa mkoani Ruvuma, imetajwa kuwa kitovu kipya cha utalii nchini kutokana na kusheheni vivutio vya kipekee vikiwemo visiwa vya ku... Read more »
DKT. NDOMBA: CHOCHEENI MABADILIKO, LINDENI MISINGI YA UTAMADUNI NKUMBI 19:07 0 MSOMI na mtaalamu wa historia, Dkt. Hubert Ndomba, ametoa mwito kwa jamii kuwa na umakini wa hali ya juu katika kupokea mabadiliko yanayolet... Read more »