Post Top Ad
Sunday, 17 May 2026
Saturday, 16 May 2026
DIWANI MABAO AWASHUKURU WANANCHI NGOGWA KWA KUMPA IMANI YA UONGOZI, CCM YASISITIZA AMANI NA USHIRIKIANO
Diwani wa Kata ya Ngogwa katika Manispaa ya Kahama, Abel Mabao, akiwashukuru wananchi wa kata hiyo kwa imani waliomuonesha katika uchaguzi m...
WADAU WA SIASA WATAKA MARIDHIANO KUNUSURU NCHI
Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo ya Uma (Chauma) na aliyekuwa mgombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2025, Salum Mwalimu, ametoa wito wa k...
UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA ULIVYOTUMIKA KUCHOCHEA VURUGU ZA UCHAGUZI WA 2025
Ripoti ya Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imefichua kuwa ukosefu wa ajira na ugumu wa maisha uliw...
PROFESA KABUDI AHAMASISHA UZALENDO KUPITA MAPITO KAMA TAIFA
Na Beda Msimbe, BSKY Media Tanzania imefanikiwa kujijenga kama taifa imara, lenye mshikamano na umoja thabiti katika kipindi cha miongo sita...
MUSTAKABALI WA TANZANIA: VIJANA WALILIA NAFASI ZA MAAMUZI NA ELIMU YA URAIA
Ushirikishwaji hafifu na hisia za kutosikilizwa zimetajwa kuwa miongoni mwa vichocheo vilivyowafanya baadhi ya vijana kujitenga na mifumo ha...
Friday, 15 May 2026
RC SHINYANGA AFUNGUA RASMI SHULE MPYA YA AWALI NA MSINGI TINDE B, MBUNGE AZZA HILAL AIPONGEZA SERIKALI KWA MAPINDUZI YA ELIMU ITWANGI
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mboni Mhita (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Shule mpya ya Awali na Msingi Tinde B iliyop...
UJUZI NI AJIRA : HADITHI YA MAFANIKIO YA MIAKA 98 YA UANAGENZI PERAMIHO
Na Mwandishi Maalumu Katika zama hizi za mapinduzi ya viwanda na soko shindani la ajira, Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais...
FUNZO LA RIPOTI YA JAJI CHANDE: MSHIKAMANO HUJENGWA KWA MATUMAINI YA USHIRIKI WA MAENDELEO
Uchambuzi wa kina wa ripoti ya ghasia za uchaguzi umeonesha uhusiano wa moja kwa moja kati ya changamoto za kiuchumi na ushiriki wa vijana k...
MBALAMWEZI YA AMANI: JINSI TOFAUTI ZA KISIASA ZINAVYOWEZA KUDHIBITIWA BILA KUZALISHA MIGOGORO
Uchaguzi mkuu wa 2025 umeacha alama ya maumivu inayohitaji kutafakariwa kwa kina ili kuhakikisha kuwa chaguzi zijazo zinakuwa chombo cha kui...
RIPOTI YA TUME YA JAJI CHANDE: KUZUIA GHASIA ZA KISIASA KUNAHITAJI MIFUMO IMARA YA TAHADHARI MAPEMA
Ripoti ya Tume ya kuchunguza matukio ya baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeweka bayana kuwa usalama wa taifa hauwezi kutegemea tu nguv...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.